Job 6:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au mniokoe makuchani mwa adui? Au mnikomboe mkononi mwa wadhalimu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au niokoeni mikononi mwa adui, au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au, Niokoeni na mkono wa adui? Au, Nikomboeni na mikono ya hao waoneao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au mniokoe makuchani mwa adui? Au mnikomboe mkononi mwa wadhalimu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au niokoeni mikononi mwa adui, au nikomboeni kutoka kwenye makucha ya wasio na huruma’?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au niokoeni mikononi mwa adui, au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au, Niokoeni na mkono wa adui? Au, Nikomboeni na mikono ya hao waoneao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au mniokoe makuchani mwa adui? Au mnikomboe mkononi mwa wadhalimu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au: Niponyeni mkononi mwake anisongaye, namo mikononi mwao wakorofi nikomboeni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au, Niokoeni na mkono wa adui? Au, Nikomboeni na mikono ya hao waoneao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au muniokoe toka katika mikono ya adui? Au munikomboe toka katika mukono wa watesaji?