Job 6:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno ya kweli yana nguvu kubwa! Lakini makaripio yenu yananikosoa nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi yafaavyo maneno ya uelekevu! Lakini kuhoji kwenu, je! Kumeonya nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno ya kweli yana nguvu kubwa! Lakini makaripio yenu yananikosoa nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi yafaavyo maneno ya uelekevu! Lakini shutuma zenu, je! Zimeonya nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno ya kweli yana nguvu kubwa! Lakini makaripio yenu yananikosoa nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno yanyokayo hushinda kweli, lakini maneno yenu ya kunisuta yana maana gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi yafaavyo maneno ya uelekevu! Lakini kuhoji kwenu, je! Kumeonya nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno ya kweli yana nguvu kubwa! Lakini makaripio yenu yanafaa kwa nini?