Job 6:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mnathubutu hata kuwapigia yatima kura; mnawapigia bei hata marafiki zenu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, mwapenda kuwapigia kura hao mayatima, Na kufanya biashara ya rafiki yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mnathubutu hata kuwapigia yatima kura; mnawapigia bei hata marafiki zenu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima na kubadilishana rafiki yenu na mali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, mwapenda kuwapigia kura hao mayatima, Na kufanya biashara ya rafiki yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mnathubutu hata kuwapigia yatima kura; mnawapigia bei hata marafiki zenu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mwana aliyefiwa na wazazi mwaweza kumpigia kura, mkamwuza naye aliye mwenzenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, mwapenda kuwapigia kura hao mayatima, Na kufanya biashara ya rafiki yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munasubutu hata kuwapigia wayatima kura; munauzisha hata rafiki yenu!