Job 6:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa niangalieni tafadhali. Mimi sitasema uongo mbele yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa basi iweni radhi kuniangalia; Kwani hakika sitanena uongo usoni penu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa niangalieni tafadhali. Mimi sitasema uongo mbele yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini sasa iweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa basi iweni radhi kuniangalia; Kwani hakika sitanena uongo usoni penu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa niangalieni tafadhali. Mimi sitasema uongo mbele yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa ninawaomba, mnielekee mimi; sitaweza kuwaongopea usoni penu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa basi iweni radhi kuniangalia; Kwani hakika sitanena uongo usoni penu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa muniangalie tafazali. Mimi sitasema uongo mbele yenu.