Job 6:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mnadhani kwamba nimesema uovu? Je, mnafikiri mimi siyatambui machungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, pana uovu wowote mdomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mna udhalimu ulimini mwangu? Je! Makaakaa yangu hayatambui mambo ya madhara?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mnadhani kwamba nimesema uovu? Je, mnafikiri mimi siyatambui machungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, pana uovu wo wote midomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, pana uovu wowote midomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mna udhalimu ulimini mwangu? Je! Makaakaa yangu hayatambui mambo ya madhara?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mnadhani kwamba nimesema uovu? Je, mnafikiri mimi siyatambui machungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Ulimi wangu umesema yaliyo mapotovu? Au kinywa changu hakiyatambui yaponzayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mna udhalimu ulimini mwangu? Je! Makaakaa yangu hayatambui mambo ya madhara?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munazani kwamba nimesema uovu? Munafikiri kwamba mimi siyatambui machungu?