Job 6:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au fahali hulia akiwa na chakula?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Huyo punda-mwitu hulia akiwa na majani? Au, ng'ombe hulia malishoni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe dume hulia akiwa na chakula?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au ng’ombe dume hulia akiwa na chakula?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Huyo punda mwitu hulia akiwa na majani? Au, ng'ombe hulia akiwa malishoni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Punda wa porini hulia mbugani penye majani? Au yuko ng'ombe apigaye kelele penye chakula chake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Huyo punda-mwitu hulia akiwa na majani? Au, ng’ombe hulia malishoni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Punda wa pori analia akiwa na majani, au ngombe akiwa na malisho?