Job 6:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sina hamu ya kuvigusa vyakula hivyo, hivyo ni vyakula vyangu vichukizavyo. ”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninakataa kuvigusa; vyakula vya aina hii hunichukiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho yangu inakataa hata kuvigusa; Kwangu mimi ni kama chakula kichukizacho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sina hamu ya kuvigusa vyakula hivyo, hivyo ni vyakula vyangu vichukizavyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninakataa kuvigusa, vyakula vya aina hii hunichukiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninakataa kuvigusa; vyakula vya aina hii hunichukiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho yangu inakataa hata kuvigusa; Kwangu mimi ni kama chakula kichukizacho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sina hamu ya kuvigusa vyakula hivyo, hivyo ni vyakula vyangu vichukizavyo. ”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu inakataa kuvigusa tu, kwani hufanana na vyakula vyangu vichukizavyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho yangu inakataa hata kuvigusa; Kwangu mimi ni kama chakula kichukizacho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sina hamu ya kuvigusa vyakula hivyo, hivyo ni vyakula vinavyonichukiza.