Job 6:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Laiti ningejaliwa ombi langu, Mungu akanipatia kile ninachotamani:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti ningepewa haja yangu, Naye Mungu angenipa neno hilo ninalolitamani sana!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Laiti ningejaliwa ombi langu, Mungu akanipatia kile ninachotamani:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti ningepewa haja yangu, Naye Mungu angenipa neno hilo ninalolitamani sana!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Laiti ningejaliwa ombi langu, Mungu akanipatia kile ninachotamani:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Laiti yangetimia niyatakayo, Mungu akinipa niyangojeayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti ningepewa haja yangu, Naye Mungu angenipa neno hilo ninalolitamani sana!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri ningejibiwa kwa ombi langu, Mungu angenipatia kile ninachotamani,