Job 6:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwamba angekuwa radhi kunipondaponda, angenyosha mkono wake anikatilie mbali!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba Mungu angekuwa radhi kuniseta; Kwamba angeulegeza mkono wake na kunikatilia mbali!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwamba angekuwa radhi kunipondaponda, angenyosha mkono wake anikatilie mbali!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda; Kwamba angeulegeza mkono wake na kunikatilia mbali!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwamba angekuwa radhi kunipondaponda, angenyosha mkono wake anikatilie mbali!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Mungu yangempendeza, na aniponde, na aukunjue mkono wake kuikata roho yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba Mungu angekuwa radhi kuniseta; Kwamba angeulegeza mkono wake na kunikatilia mbali!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
angependezwa kunipondaponda, angenyoosha mukono wake juu yangu na kuniua!