Job 7:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mtu hana wakati wake wa vita juu ya nchi? Na siku zake, je! Si kama siku za mwajiriwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mtu hana huduma ngumu juu ya nchi? Na siku zake, je! Si kama siku za mwajiriwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mtu hashurutishwi kufanya kazi ya vita huku nchini? Siku zake si sawa kama siku zake mkibarua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mtu hana wakati wake wa vita juu ya nchi? Na siku zake, je! Si kama siku za mwajiriwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanadamu ana magumu katika dunia, na siku zake ni kama siku za mutumishi wa mushahara!