Job 7:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe harudi tena kwenye nyumba yake, wala mahali pake hapatamjua tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hawezi kurudi tena, aingie nyumbani mwake, wala mahali pake, alipokuwa, hapamtambui tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi, wanamusahau mara moja.