Job 7:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu kuongea; nitasema kwa msongo wa roho yangu, nitalalamika kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo sitanyamaza; nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitanena kwa mateso ya roho yangu; Nitalia kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu kuongea; nitasema kwa msongo wa roho yangu, nitalalamika kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo sitanyamaza; nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo sitanyamaza; nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitanena kwa mateso ya roho yangu; Nitalia kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu kuongea; nitasema kwa msongo wa roho yangu, nitalalamika kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mimi sitakizuia kinywa changu, niseme kwa kusongeka rohoni mwangu, nilie kwa uchungu wa moyo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitanena kwa mateso ya roho yangu; Nitalia kwa uchungu wa nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu kusema. Nitasema kwa kusongwa kwa roho yangu, nitalalamika kwa uchungu wa nafsi yangu.