Job 7:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mimi ni bahari au dude la baharini hata uniwekee mlinzi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mimi ni bahari, au yule mnyama mkubwa wa baharini, hata uniweke chini ya ulinzi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mimi ni bahari, au je! Ni nyangumi? Hata ukawaweka walinzi juu yangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mimi ni bahari au dude la baharini hata uniwekee mlinzi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mimi ni bahari au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, hata uniweke chini ya ulinzi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, hata uniweke chini ya ulinzi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mimi ni bahari, au je! Ni nyangumi? Hata ukawaweka walinzi juu yangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mimi ni bahari au dude la baharini hata uniwekee mlinzi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mimi ni kama bahari au kama nyangumi, ukiniwekea watu wa kuniangalia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mimi ni bahari, au je! Ni nyangumi? Hata ukawaweka walinzi juu yangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni bahari au nyama mukubwa wa bahari hata upate kuniwekea mulinzi?