Job 7:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikisema, ‘Kitanda kitanipumzisha, malazi yangu yatanipunguzia malalamiko yangu,’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo nisemapo, kitanda changu kitanituza moyo, Malazi yangu yatanipunguzia kuugua kwangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikisema, ‘Kitanda kitanipumzisha, malazi yangu yatanipunguzia malalamiko yangu,’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo nisemapo, kitanda changu kitanituliza moyo, Malazi yangu yatanipunguzia kuugua kwangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikisema, ‘Kitanda kitanipumzisha, malazi yangu yatanipunguzia malalamiko yangu,’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikisema: Kilalo changu ndicho kitakachonituliza moyo, kitanda changu kitanipunguzia vilio vyangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo nisemapo, kitanda changu kitanituza moyo, Malazi yangu yatanipunguzia kuugua kwangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikisema “Kitanda kitanipumzisha, matandiko yangu yatanipunguzia malalamiko yangu”,