Job 7:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nayachukia maisha yangu; sitaishi milele. Niacheni, maana siku zangu ni pumzi tu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi. Niache; siku zangu ni ubatili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninadhoofika; sitaishi sikuzote; Usinisumbue, kwani siku zangu ni uvuvio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nayachukia maisha yangu; sitaishi milele. Niacheni, maana siku zangu ni pumzi tu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninayachukia maisha yangu, nisingetamani kuendelea kuishi. Niache, siku zangu ni ubatili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi. Niache; siku zangu ni ubatili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninadhoofika; sitaishi siku zote; Usinisumbue, kwani siku zangu ni uvuvio.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nayachukia maisha yangu; sitaishi milele. Niacheni, maana siku zangu ni pumzi tu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimekata tamaa kwa kukataa kuwapo kale na kale; kwa sababu siku zangu ni za bure, uniache tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninadhoofika; sitaishi sikuzote; Usinisumbue, kwani siku zangu ni uvuvio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninayachukia maisha yangu. Sitaishi milele. Muniache, maana siku zangu ni pumzi tu!