Job 7:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mtumishi atamaniye sana kile kivuli, Kama mwajiriwa anayetazamia mshahara wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mtumishi atamaniye sana kile kivuli, Kama mwajiriwa anayetazamia mshahara wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwa kama mtumwa atweteaye kivuli, au kama mkibarua aungojeaye mshahara wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mtumishi atamaniye sana kile kivuli, Kama mwajiriwa anayetazamia mshahara wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye ni kama mutumwa anayetamani kivuli, kama mutumishi anayengoja kwa hamu mushahara wake.