Job 7:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona hunisamehi kosa langu na kuniondolea uovu wangu? Hivi punde nitalazwa chini kaburini, utanitafuta, lakini sitakuwapo tena!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini husamehi makosa yangu na kuachilia dhambi zangu? Kwa kuwa hivi karibuni nitalala mavumbini; nawe utanitafuta, wala sitakuwepo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu, Na kuniondolea maovu yangu? Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona hunisamehi kosa langu na kuniondolea uovu wangu? Hivi punde nitalazwa chini kaburini, utanitafuta, lakini sitakuwapo tena!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini husamehi makosa yangu na kuachilia dhambi zangu? Kwa kuwa hivi karibuni nitalala mavumbini, nawe utanitafuta, wala sitakuwapo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini husamehi makosa yangu na kuachilia dhambi zangu? Kwa kuwa hivi karibuni nitalala mavumbini; nawe utanitafuta, wala sitakuwepo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu, Na kuniondolea maovu yangu? Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona hunisamehi kosa langu na kuniondolea uovu wangu? Hivi punde nitalazwa chini kaburini, utanitafuta, lakini sitakuwapo tena!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona huniondolei maovu yangu, ukazitowesha nazo manza, nilizozikora? Kwani sasa ninakwenda zangu kulala uvumbini; utakaponitafuta mapema utaniona, sipo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu, Na kuniondolea maovu yangu? Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona haunisamehe kosa langu na kuniondolea uovu wangu? Hivi kisha muda kidogo nitalazwa chini katika mavumbi. Utanitafuta, lakini sitakuwa tena!