Job 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilalapo nasema, ‘Nitaamka lini?’ Kwani saa za usiku huwa ndefu sana; nagaagaa kitandani mpaka kuche!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo nilalapo chini, nasema, Nitaondoka lini? Lakini usiku huwa mrefu; Nami nimejawa na kujitupa huku na huku hata kupambazuke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilalapo nasema, ‘Nitaamka lini?’ Kwani saa za usiku huwa ndefu sana; nagaagaa kitandani mpaka kuche!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo nilalapo chini, nasema, Nitaondoka lini? Lakini usiku huwa mrefu; Nami nimejawa na kujitupa huku na huku hata kupambazuke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilalapo nasema, ‘Nitaamka lini?’ Kwani saa za usiku huwa ndefu sana; nagaagaa kitandani mpaka kuche!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninapolala nasema: Nitainuka lini? kwani saa za usiku huwa ndefu sana, nikazidi kujigeuzageuza kitandani, mpaka kuche.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo nilalapo chini, nasema, Nitaondoka lini? Lakini usiku huwa mrefu; Nami nimejawa na kujitupa huku na huku hata kupambazuke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninapolala ninasema: “Nitaamuka wakati gani?” Maana saa za usiku ni ndefu sana; ninagaagaa katika kitanda mpaka mapambazuko!