Job 7:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku zangu zapita kasi kuliko gurudumu la mshonaji, nazo zafikia mwisho wake bila matumaini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zangu hupita upesi kuliko chombo cha kufumia, Nazo zapita pasipokuwa na matumaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku zangu zapita kasi kuliko gurudumu la mshonaji, nazo zafikia mwisho wake bila matumaini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Siku zangu zinapita upesi kuliko pia ya mashine ya kufuma, nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zangu hupita upesi kuliko chombo cha kufumia, Nazo zapita pasipokuwa na matumaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku zangu zapita kasi kuliko gurudumu la mshonaji, nazo zafikia mwisho wake bila matumaini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zangu hupita upesi sana kuliko chombo cha kufumia, sinacho kingojeo cho chote, ila zimalizike tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zangu hupita upesi kuliko chombo cha kufumia, Nazo zapita pasipokuwa na matumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zangu zinapita mbio kuliko gurudumu la mushonaji, nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini.