Job 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayeniona sasa, hataniona tena, punde tu ukinitazama nitakuwa nimetoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; utanitafuta, wala sitakuwepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jicho lake huyo anionaye halitaniangalia tena; Macho yako yatanielekea, lakini sitakuwapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayeniona sasa, hataniona tena, punde tu ukinitazama nitakuwa nimetoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena, utanitafuta, wala sitakuwapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; utanitafuta, wala sitakuwepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jicho lake huyo anionaye halitaniangalia tena; Macho yako yatanielekea, lakini sitakuwapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayeniona sasa, hataniona tena, punde tu ukinitazama nitakuwa nimetoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jicho lake anionaye sasa halitanitazama tena, macho yako yatakaponielekea, nitakuwa sipo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jicho lake huyo anionaye halitaniangalia tena; Macho yako yatanielekea, lakini sitakuwapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayeniona sasa, hataniona tena, mara tu ukiniangalia nitakuwa nimetoweka.