Job 7:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama wingu lififiavyo na kutoweka ndivyo nao watu washukavyo kuzimu bila kurudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini harudi tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile wingu likomavyo na kutoweka, Ni vivyo huyo ashukaye kuzimuni hatazuka tena kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama wingu lififiavyo na kutoweka ndivyo nao watu washukavyo kuzimu bila kurudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini harudi tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini harudi tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile wingu likomavyo na kutoweka, Ndivyo alivyo huyo ashukaye kuzimuni, hatazuka tena kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama wingu lififiavyo na kutoweka ndivyo nao watu washukavyo kuzimu bila kurudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wingu linavyopoteleapotelea, mpaka litoweke, vivyo hivyo naye ashukaye kuzimuni hatokei tena;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile wingu likomavyo na kutoweka, Ni vivyo huyo ashukaye kuzimuni hatazuka tena kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile wingu linavyofifia na kutoweka, ndivyo nao watu wanavyoshukia kuzimu bila kurudi.