Job 8:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao watakufunza na kukuambia, mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hawatakufundisha na kukueleza? Je, hawataleta maneno ya ufahamu wao?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hawatakufunza wao, na kukueleza, Na kutamka maneno yatokayo mioyoni mwao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao watakufunza na kukuambia, mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hawatakufundisha na kukueleza? Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hawatakufundisha na kukueleza? Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hawatakufunza wao, na kukueleza, Na kutamka maneno yatokayo mioyoni mwao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao watakufunza na kukuambia, mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao sio watakaoweza kukufunza wakikuelezea mambo, wakitoa mioyoni mwao watakayokuambia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hawatakufunza wao, na kukueleza, Na kutamka maneno yatokayo mioyoni mwao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wao watakufundisha na kukuambia mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao.