Job 8:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafunjo huota tu penye majimaji, matete hustawi mahali palipo na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? Matete yaweza kustawi bila maji?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hayo mafunjo yamea pasipo matope Na makangaga kumea pasipo maji?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafunjo huota tu penye majimaji, matete hustawi mahali palipo na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? Matete yaweza kustawi bila maji?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? Matete yaweza kustawi bila maji?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hayo mafunjo yamea pasipo matope Na makangaga kumea pasipo maji?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafunjo huota tu penye majimaji, matete hustawi mahali palipo na maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Pasipokuwa penye unyevu huotesha matete? Pasipokuwa penye maji huchipuza mafunjo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hayo mafunjo yamea pasipo matope Na makangaga kumea pasipo maji?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyasi zinaota tu penye tingitingi, matete yanastawi pahali panapokuwa maji.