Job 8:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo walivyo wote wanaomsahau Mungu. Tumaini la wasiomwamini Mungu litapotea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo ulivyo mwisho wa hao wamsahauo Mungu; Na matumaini yake huyo mbaya huangamia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo walivyo wote wanaomsahau Mungu. Tumaini la wasiomwamini Mungu litapotea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu, vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo ulivyo mwisho wa hao wamsahauo Mungu; Na matumaini yake huyo mbaya huangamia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo walivyo wote wanaomsahau Mungu. Tumaini la wasiomwamini Mungu litapotea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, zilivyo njia zao wale waliomsahau Mungu, ndivyo, kinavyoangamia kingojeo cha mpotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo ulivyo mwisho wa hao wamsahauo Mungu; Na matumaini yake huyo mbaya huangamia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo wote wanaomusahau Mungu wanavyokuwa. Tumaini la wasiomwamini Mungu litapotea.