Job 8:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mizizi yake hujisokotasokota kwenye mawe naye aenda kuchunguza ndani ya mwamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, na kutafuta nafasi kati ya mawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mizizi yake huzonga-zonga chuguu, Huangalia mahali penye mawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mizizi yake hujisokotasokota kwenye mawe naye aenda kuchunguza ndani ya mwamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe na kutafuta nafasi katikati ya mawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, na kutafuta nafasi katikati ya mawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mizizi yake huzongazonga chuguu, Huangalia mahali penye mawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mizizi yake hujisokotasokota kwenye mawe naye aenda kuchunguza ndani ya mwamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mizizi yake ikizinga nazo chungu za mawe, ikijiingiza kwa nguvu zao namo maweni penye nyumba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mizizi yake huzonga-zonga chuguu, Huangalia mahali penye mawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mizizi yake inajisokotasokota kwenye mawe, nalo linaenda kuchunguza ndani ya jiwe.