Job 8:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini akiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatamkana yakisema: ‘Sijapata kukuona.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapong’olewa kutoka mahali pake, ndipo mahali pale huukana na kusema, ‘Mimi kamwe sikukuona.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, aking'olewa mahali pake, Ndipo patamkana, na kusema, Mimi sikukuona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini akiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatamkana yakisema: ‘Sijapata kukuona.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapong'olewa kutoka mahali pake, ndipo mahali pale huukana na kusema, ‘Mimi kamwe sikukuona.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapong’olewa kutoka mahali pake, ndipo mahali pale huukana na kusema, ‘Mimi kamwe sikukuona.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, aking'olewa mahali pake, Ndipo patamkana, na kusema, Mimi sikukuona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini akiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatamkana yakisema: ‘Sijapata kukuona.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini wakimng'oa mahali pake, alipokuwa, ndipo, hapo pake patakapomkana kwamba: Sijakuona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, aking’olewa mahali pake, Ndipo patamkana, na kusema, Mimi sikukuona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini likiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatalikana yakisema: “Sijakuona bado.”