Job 8:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama, huo ndio mwisho wa furaha ya mtu huyo, na mahali pao patachipua wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika uhai wake hunyauka, na kutoka udongoni mimea mingine huota.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, furaha ya njia yake ni hii, Na wengine watachipuka kutoka katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama, huo ndio mwisho wa furaha ya mtu huyo, na mahali pao patachipua wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika uhai wake hunyauka na kutoka udongoni mimea mingine huota.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika uhai wake hunyauka, na kutoka udongoni mimea mingine huota.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, furaha ya njia yake ni hii, Na wengine watachipuka kutoka katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama, huo ndio mwisho wa furaha ya mtu huyo, na mahali pao patachipua wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Hii ndiyo furaha, njia yake inayompatia, kisha wataota wengine hapo uvumbini, alipokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, furaha ya njia yake ni hii, Na wengine watachipuka kutoka katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile ndiyo furaha ya mwisho wake, na pahali pake patachipuka mengine.