Job 8:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utasema mambo haya mpaka lini? Mpaka lini maneno yako yatakuwa matupu kama upepo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hata lini wewe utasema mambo kama haya? Maneno yako ni kama upepo mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe utanena maneno haya hata lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hata lini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utasema mambo haya mpaka lini? Mpaka lini maneno yako yatakuwa matupu kama upepo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hata lini wewe utasema mambo kama haya? Maneno yako ni kama upepo mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hata lini wewe utasema mambo kama haya? Maneno yako ni kama upepo mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe utanena maneno haya hadi lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hadi lini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utasema mambo haya mpaka lini? Mpaka lini maneno yako yatakuwa matupu kama upepo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno ya kinywa chako yatavuma hata lini yakiwa kama upepo wa kimbunga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe utanena maneno haya hata lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hata lini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utasema mambo haya mpaka wakati gani? Mpaka wakati gani maneno yako yatakuwa matupu kama upepo?