Job 8:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tazama! Mungu hatamkataa mtu asiye na hatia, wala kuwasaidia waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, wala kuitia nguvu mikono ya mtenda maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Mungu hatamtupa mtu mkamilifu, Wala hatawathibitisha watendao uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tazama! Mungu hatamkataa mtu asiye na hatia, wala kuwasaidia waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Mungu hatamtupa mtu mkamilifu, Wala hatawathibitisha watendao uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tazama! Mungu hatamkataa mtu asiye na hatia, wala kuwasaidia waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaona, Mungu hamtupi mtu asiyekosa, lakini wafanyao mabaya hawashiki mikono.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Mungu hatamtupa mtu mkamilifu, Wala hatawathibitisha watendao uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikia! Mungu hatakataa mutu mukamilifu, wala hatasaidia waovu.