Job 8:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wakuchukiao wataingiwa na aibu, makao ya waovu yatatoweka kabisa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zako watavikwa aibu, nayo mahema ya waovu hayatakuwepo tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wakuchukiao watavikwa aibu; Nayo hema yake mwovu haitakuwako tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wakuchukiao wataingiwa na aibu, makao ya waovu yatatoweka kabisa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zako watavikwa aibu, nazo hema za waovu hazitakuwapo tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zako watavikwa aibu, nazo hema za waovu hazitakuwepo tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wakuchukiao watavikwa aibu; Nayo hema yake mwovu haitakuwako tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wakuchukiao wataingiwa na aibu, makao ya waovu yatatoweka kabisa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watakaoiva nyuso kwa soni ndio wachukivu wako, nayo mahema yao wasiomcha Mungu yatakuwa hayako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wakuchukiao watavikwa aibu; Nayo hema yake mwovu haitakuwako tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wanaokuchukia watapata haya, makao ya waovu yatatoweka kabisa.