Job 8:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama wewe u safi moyoni na mnyofu, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukiwa wewe u safi na mwelekevu; Hakika yeye sasa angeamka kwa ajili yako, Na kuyafanya makazi ya haki yako kufanikiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama wewe u safi moyoni na mnyofu, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako na kukurudisha katika mahali pako pa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa wewe u safi na mwelekevu; Hakika yeye sasa angeamka kwa ajili yako, Na kuyafanya makazi ya haki yako kufanikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama wewe u safi moyoni na mnyofu, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukiwa umetakata, ukanyoka, kweli ataamka sasa hivi, aje kwako, alitengemanishe kao lako, wongofu wako ukae humo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukiwa wewe u safi na mwelekevu; Hakika yeye sasa angeamka kwa ajili yako, Na kuyafanya makazi ya haki yako kufanikiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama wewe uko safi ndani ya moyo na wa usawa, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili.