Job 9:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mungu hatazuia hasira yake; chini yake wainama kwa hofu Rahabu na wasaidizi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu hataizuia hasira yake; hata jeshi kubwa la Rahabu lenye nguvu linajikunyata miguuni pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu haondoi hasira zake; Hao wamsaidiao Rahabu huinama chini yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mungu hatazuia hasira yake; chini yake wainama kwa hofu Rahabu na wasaidizi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu hataizuia hasira yake, hata jeshi kubwa la Rahabu lenye nguvu linajikunyata miguuni pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu hataizuia hasira yake; hata jeshi kubwa la Rahabu lenye nguvu linajikunyata miguuni pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu haondoi hasira zake; Hao wamsaidiao Rahabu huinama chini yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mungu hatazuia hasira yake; chini yake wainama kwa hofu Rahabu na wasaidizi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa Mungu haachi kukasirika, nao wanaosaidiana na nondo wa baharini hawana budi kumwangukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu haondoi hasira zake; Hao wamsaidiao Rahabu huinama chini yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu hatazuia hasira yake; Rahabu na wasaidizi wake wanainama chini mbele yake.