Job 9:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna msuluhishi kati yetu, ambaye angeamua kati yetu sisi wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti pangekuwa na mtu wa kutupatanisha, aweke mkono wake juu yetu sote wawili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapana mwenye kuamua katikati yetu, Awezaye kutuwekea mkono sote wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna msuluhishi kati yetu, ambaye angeamua kati yetu sisi wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti angelikuwapo mtu wa kutupatanisha kati yetu, aweke mkono wake juu yetu sote wawili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti angelikuwepo mtu wa kutupatanisha kati yetu, aweke mkono wake juu yetu sote wawili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapana mwenye kuamua katikati yetu, Awezaye kutuwekea mkono sote wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna msuluhishi kati yetu, ambaye angeamua kati yetu sisi wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwetu sisi, yeye na mimi, hakuna awezaye kutuamua, akitushika sote wawili kwa mkono wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana mwenye kuamua katikati yetu, Awezaye kutuwekea mkono sote wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna mwamuzi kati yetu ambaye angetuamua sisi wawili.