Joel 1:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la Mwenyezi Mungu ambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno la BWANA ambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno la bwana ambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno la Bwana lililomjia Yoeli, mwana wa Petueli: Yasikieni haya, ninyi wazee! Yasikilizeni, ninyi nyote mkaao katika nchi hii!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hili ni neno la Yawe lililomufikia Yoeli mwana wa Petueli.