Joel 1:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ombolezeni enyi wakulima; pigeni yowe enyi watunza mizabibu. Ngano na shayiri zimeharibika, mavuno yote shambani yameangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kateni tamaa, enyi wakulima, lieni, enyi mlimao mizabibu; huzunikeni kwa ajili ya ngano na shayiri, kwa sababu mavuno ya shambani yameharibiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tahayarini, enyi wakulima; Pigeni yowe, enyi watunzaji wa mizabibu; Kwa ajili ya ngano na shayiri, Maana mavuno ya mashamba yamepotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ombolezeni enyi wakulima; pigeni yowe enyi watunza mizabibu. Ngano na shayiri zimeharibika, mavuno yote shambani yameangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kateni tamaa, enyi wakulima, lieni, enyi mlimao mizabibu; huzunikeni kwa ajili ya ngano na shayiri, kwa sababu mavuno ya shambani yameharibiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kateni tamaa, enyi wakulima, lieni, enyi mlimao mizabibu; huzunikeni kwa ajili ya ngano na shayiri, kwa sababu mavuno ya shambani yameharibiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tahayarini, enyi wakulima; Pigeni yowe, enyi watunzaji wa mizabibu; Kwa ajili ya ngano na shayiri, Maana mavuno ya mashamba yamepotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ombolezeni enyi wakulima; pigeni yowe enyi watunza mizabibu. Ngano na shayiri zimeharibika, mavuno yote shambani yameangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakulima wametwezwa, watunza mizabibu wanalia, kwa ajili ya ngano na ya mawele, kwani ngano zimeangamia, mvinyo mpya zimekupwa, mafuta nayo yamefifizwa. Wakulima wametwezwa, watunza mizabibu wanalia, kwa ajili ya ngano na ya mawele, kwani mavuno ya mashamba yamepotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tahayarini, enyi wakulima; Pigeni yowe, enyi watunzaji wa mizabibu; Kwa ajili ya ngano na shayiri, Maana mavuno ya mashamba yamepotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muomboleze, enyi walimaji; mulalamike, enyi watunza mizabibu. Ngano na shayiri zimeharibika, mavuno yote katika shamba yameangamia.