Joel 1:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wetu kwa ile siku ya Mwenyezi-Mungu, siku hiyo ya Mwenyezi-Mungu inakaribia; inakuja pamoja na maangamizi, kutoka kwa Mungu Mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole kwa siku hiyo! Kwa kuwa siku ya Mwenyezi Mungu iko karibu; itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wake siku hii! Kwa maana siku ya Bwana inakaribia, nayo itakuja kama uangamivu utokao kwake aliye Mwenyezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wetu kwa ile siku ya Mwenyezi-Mungu, siku hiyo ya Mwenyezi-Mungu inakaribia; inakuja pamoja na maangamizi, kutoka kwa Mungu Mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole kwa siku hiyo! Kwa kuwa siku ya BWANA iko karibu; itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole kwa siku hiyo! Kwa kuwa siku ya bwana iko karibu; itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wake siku hii! Kwa maana siku ya BWANA inakaribia, nayo itakuja kama maangamizi yatokayo kwake aliye Mwenyezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wetu kwa ile siku ya Mwenyezi-Mungu, siku hiyo ya Mwenyezi-Mungu inakaribia; inakuja pamoja na maangamizi, kutoka kwa Mungu Mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Semeni: Imetupata ile siku! Kweli siku ya Bwana iko karibu! Inakuja kama mwangamizo utokao kwake Mwenyezi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wake siku hii! Kwa maana siku ya BWANA inakaribia, nayo itakuja kama uangamivu utokao kwake aliye Mwenyezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwetu kwa ile siku ya Yawe, siku hiyo ya Yawe inakaribia; inakuja pamoja na maangamizi, kutoka kwa Mungu Mukubwa.