Joel 1:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mazao yetu yameharibiwa huku tunatazama. Furaha na kicheko vimetoweka nyumbani kwa Mungu wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, chakula hakikukatiliwa mbali mbele ya macho yetu: furaha na shangwe kutoka nyumba ya Mungu wetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Chakula hakikukatiliwa mbali mbele ya macho yetu? Naam, furaha na kicheko mbali na nyumba ya Mungu wetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mazao yetu yameharibiwa huku tunatazama. Furaha na kicheko vimetoweka nyumbani kwa Mungu wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, chakula hakikukatiliwa mbali mbele ya macho yetu: furaha na shangwe kutoka katika nyumba ya Mungu wetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, chakula hakikukatiliwa mbali mbele ya macho yetu: furaha na shangwe kutoka nyumba ya Mungu wetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Chakula hakikukatiliwa mbali mbele ya macho yetu? Naam, furaha na kicheko mbali na nyumba ya Mungu wetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mazao yetu yameharibiwa huku tunatazama. Furaha na kicheko vimetoweka nyumbani kwa Mungu wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Chakula hakikuondolewa machoni petu? Nyumbani mwa Mungu wetu hamkuondoka furaha na shangwe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Chakula hakikukatiliwa mbali mbele ya macho yetu? Naam, furaha na kicheko mbali na nyumba ya Mungu wetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mazao yetu yameharibiwa mbele ya macho yetu. Furaha na kicheko vimetoweka katika nyumba ya Mungu wetu.