Joel 1:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, moto umemaliza malisho nyikani, miali ya moto imeteketeza miti mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwako, Ee Mwenyezi Mungu, naita, kwa kuwa moto umeteketeza malisho ya mbugani na miali ya moto imeunguza miti yote shambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nakulilia wewe; Kwa maana moto umeyala malisho ya nyikani, Na miali ya moto imeteketeza miti yote ya mashamba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, moto umemaliza malisho nyikani, miali ya moto imeteketeza miti mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwako, Ee BWANA, naita, kwa kuwa moto umeteketeza malisho ya mbugani na miali ya moto imeunguza miti yote ya shambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwako, Ee bwana, naita, kwa kuwa moto umeteketeza malisho ya mbugani na miali ya moto imeunguza miti yote shambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nakulilia wewe; Kwa maana moto umeyala malisho ya nyikani, Na miali ya moto imeteketeza miti yote ya mashamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, moto umemaliza malisho nyikani, miali ya moto imeteketeza miti mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Bwana, ninakulilia, kwani moto umezila mbuga za nyikani, moto wenye miali umeichoma miti yote ya porini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nakulilia wewe; Kwa maana moto umeyala malisho ya nyikani, Na miali ya moto imeteketeza miti yote ya mashamba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakulilia wewe, ee Yawe, moto umemaliza malisho katika mbuga, ndimi za moto zimeteketeza miti katika mashamba.