Joel 1:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata wanyama wa porini wanakulilia wewe, maana, vijito vya maji vimekauka, moto umemaliza malisho nyikani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata wanyama pori wanakuonea shauku; vijito vya maji vimekauka, na moto umeteketeza malisho yote ya mbugani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, wanyama wa mashamba wanakutwetea wewe; Kwa maana vijito vya maji vimekauka, Na moto umeyateketeza malisho ya nyikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata wanyama wa porini wanakulilia wewe, maana, vijito vya maji vimekauka, moto umemaliza malisho nyikani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata wanyama wa porini wanakuonea shauku; vijito vya maji vimekauka, na moto umeteketeza malisho yote ya mbugani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata wanyama wa porini wanakuonea shauku; vijito vya maji vimekauka, na moto umeteketeza malisho yote ya mbugani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, hata wanyama pori wanakulilia wewe; Kwa maana vijito vya maji vimekauka, Na moto umeyateketeza malisho ya nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata wanyama wa porini wanakulilia wewe, maana, vijito vya maji vimekauka, moto umemaliza malisho nyikani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao nyama wa porini wanakutwetea kwani vijito vya maji vimekauka, nao moto umezila mbuga za nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, wanyama wa mashamba wanakutwetea wewe; Kwa maana vijito vya maji vimekauka, Na moto umeyateketeza malisho ya nyikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata nyama wa pori wanakulilia wewe, maana, vijito vya maji vimekauka, moto umemaliza malisho katika mbuga.