Joel 1:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wasimulieni watoto wenu jambo hili, nao wawasimulie watoto wao, na watoto wao wakisimulie kizazi kifuatacho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waelezeni watoto wenu, na watoto wenu wawaambie watoto wao, na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waarifuni watoto wenu habari yake, Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wasimulieni watoto wenu jambo hili, nao wawasimulie watoto wao, na watoto wao wakisimulie kizazi kifuatacho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waelezeni watoto wenu, na watoto wenu wawaambie watoto wao, na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waelezeni watoto wenu, na watoto wenu wawaambie watoto wao, na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waambieni watoto wenu habari yake, Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wasimulieni watoto wenu jambo hili, nao wawasimulie watoto wao, na watoto wao wakisimulie kizazi kifuatacho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yasimulieni haya wana wenu! Nao wana wenu wayasimulie wana wao! Nao wana wao wayasimulie uzao mwingine ujao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waarifuni watoto wenu habari yake, Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muwaelezee watoto wenu jambo hili, nao wawaelezee watoto wao, na watoto wao wakielezee kizazi kinachofuata.