Joel 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jeshi la nzige limeivamia nchi yetu; lina nguvu na ni kubwa ajabu; meno yake ni kama ya simba, na magego yake ni kama ya simba jike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taifa limevamia nchi yangu, lenye nguvu tena lisilo na idadi; lina meno ya simba, magego ya simba jike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana taifa limepanda juu ya nchi yangu, Lenye nguvu, tena halina hesabu; Meno yake ni kama meno ya simba, Naye ana magego ya simba mkubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jeshi la nzige limeivamia nchi yetu; lina nguvu na ni kubwa ajabu; meno yake ni kama ya simba, na magego yake ni kama ya simba jike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Taifa limevamia nchi yangu, lenye nguvu tena lisilo na idadi; lina meno ya simba, magego ya simba jike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taifa limevamia nchi yangu, lenye nguvu tena lisilo na idadi; lina meno ya simba, magego ya simba jike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana taifa limepanda juu ya nchi yangu, Lenye nguvu, tena halina hesabu; Meno yake ni kama meno ya simba, Naye ana magego ya simba mkubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jeshi la nzige limeivamia nchi yetu; lina nguvu na ni kubwa ajabu; meno yake ni kama ya simba, na magego yake ni kama ya simba jike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani liko kabila, limepanda kuiingia nchi yangu, ni lenye nguvu, tena halihesabiki, meno yao kama meno ya simba, magego yao kama ya simba jike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana taifa limepanda juu ya nchi yangu, Lenye nguvu, tena halina hesabu; Meno yake ni kama meno ya simba, Naye ana magego ya simba mkubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jeshi la nzige limeishambulia inchi yetu; lina nguvu na ni kubwa ajabu; meno yake ni kama ya simba, na mataya yake ni kama ya simba dike.