Joel 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lieni kama msichana aliyevaa vazi la gunia akiombolezea kifo cha mchumba wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Omboleza kama bikira aliyevaa gunia akimwomboleza mume wa ujana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ombolea kama mwanamwali avaaye magunia Kwa ajili ya mume wa ujana wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lieni kama msichana aliyevaa vazi la gunia akiombolezea kifo cha mchumba wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Omboleza kama bikira aliyevaa nguo ya gunia anayehuzunika kwa ajili ya mume wa ujana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Omboleza kama bikira aliyevaa nguo ya gunia anayehuzunika kwa ajili ya mume wa ujana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Omboleza kama mwanamwali avaaye magunia Kwa ajili ya mume wa ujana wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lieni kama msichana aliyevaa vazi la gunia akiombolezea kifo cha mchumba wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ombolezeni kama mwanamwali aliyejivika gunia kwa ajili ya bwana wa ujana wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ombolea kama mwanamwali avaaye magunia Kwa ajili ya mume wa ujana wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulie kama vile binti aliyevaa gunia akiombolezea kifo cha muchumba wake.