Joel 1:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya Mwenyezi Mungu. Makuhani wanaomboleza, wale wanaohudumu mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimekatiliwa mbali na nyumba ya Bwana; Hao makuhani, wahudumu wa Bwana, wanaomboleza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya BWANA. Makuhani wanaomboleza, wale wanaohudumu mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya bwana. Makuhani wanaomboleza, wale wanaohudumu mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimekatiliwa mbali na nyumba ya BWANA; Hao makuhani, wahudumu wa BWANA, wanaomboleza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilaji na vinywaji vya tambiko vimekomeshwa, visifike Nyumbani mwa Bwana; kwa hiyo watambikaji wanasikitika, ndio wanaomtumikia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimekatiliwa mbali na nyumba ya BWANA; Hao makuhani, wahudumu wa BWANA, wanaomboleza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadaka za vyakula na za kinywaji zimetoweka katika nyumba ya Yawe. Makuhani, watumishi wa Yawe, wanaomboleza.