Joel 2:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mwenyezi-Mungu akaipenda nchi yake akawahurumia watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake na kuwa na huruma juu ya watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo ndipo Bwana alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akaipenda nchi yake akawahurumia watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake na kuwa na huruma juu ya watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake na kuwa na huruma juu ya watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo ndipo BWANA alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akaipenda nchi yake akawahurumia watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipoionea nchi yake wivu, akawahurumia walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo ndipo BWANA alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anaipenda inchi yake anawahurumia watu wake.