Joel 2:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usiogope, ewe nchi, bali furahi na kushangilia, maana Mwenyezi-Mungu ametenda makuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiogope, ee nchi; furahi na kushangilia. Hakika Mwenyezi Mungu ametenda mambo makubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee nchi, usiogope; furahi na kushangilia; kwa kuwa Bwana ametenda mambo makuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usiogope, ewe nchi, bali furahi na kushangilia, maana Mwenyezi-Mungu ametenda makuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiogope, Ee nchi; furahi na kushangilia. Hakika BWANA ametenda mambo makubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiogope, ee nchi; furahi na kushangilia. Hakika bwana ametenda mambo makubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee nchi, usiogope; furahi na kushangilia; kwa kuwa BWANA ametenda mambo makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usiogope, ewe nchi, bali furahi na kushangilia, maana Mwenyezi-Mungu ametenda makuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiogope, wewe nchi! Ila shangilia kwa furaha! Kwani Bwana atafanya jambo kuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee nchi, usiogope; furahi na kushangilia; kwa kuwa BWANA ametenda mambo makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiogope, ewe inchi, lakini ufurahi na kushangilia, maana Yawe ametenda mambo makubwa.