Joel 2:29 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu Mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walio watumwa wangu waume na wake nitawamiminia Roho yangu siku zilezile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu.