Joel 2:30 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitatoa ishara mbinguni na duniani; kutakuwa na damu, moto na minara ya moshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nitaonesha maajabu katika mbingu na duniani: damu, moto na mawimbi ya moshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaonyesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitatoa ishara mbinguni na duniani; kutakuwa na damu, moto na minara ya moshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu na juu ya nchi, damu, moto na wimbi la moshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu na duniani: damu, moto na mawimbi ya moshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaonesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitatoa ishara mbinguni na duniani; kutakuwa na damu, moto na minara ya moshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitafanya vioja mbinguni na nchini, vyenye damu na moto na moshimoshi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaonyesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi.