Joel 2:31 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kufika siku ya Mwenyezi-Mungu, siku iliyo kuu na ya kutisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua litageuzwa kuwa giza na mwezi kuwa mwekundu kama damu, kabla ya kuja siku ya Mwenyezi Mungu ile kuu na ya kutisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya Bwana iliyo kuu na itishayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kufika siku ya Mwenyezi-Mungu, siku iliyo kuu na ya kutisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jua litageuzwa kuwa giza na mwezi kuwa damu kabla ya kuja siku ya BWANA iliyo kuu na ya kutisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jua litageuzwa kuwa giza na mwezi kuwa mwekundu kama damu, kabla ya kuja siku ya bwana ile kuu na ya kutisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya BWANA iliyo kuu na itishayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kufika siku ya Mwenyezi-Mungu, siku iliyo kuu na ya kutisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua litageuka, liwe giza, nao mwezi utageuka, uwe damu mbele ya kutimia kwake ile siku kubwa ya Bwana, inayoogopesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya BWANA iliyo kuu na itishayo.