Joel 2:32 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watu wote watakaoomba kwa jina la Mwenyezi-Mungu wataokolewa. Maana katika mlima Siyoni na Yerusalemu, watakuwako watu watakaosalimika, kama nilivyosema mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na kila mtu atakayeliitia jina la Mwenyezi Mungu ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwa na wokovu, kama Mwenyezi Mungu alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao Mwenyezi Mungu awaita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na itakuwa ya kwamba mtu awaye yote atakayeliita jina la Bwana ataponywa; kwa kuwa katika mlima Sayuni na katika Yerusalemu watakuwako watu watakaookoka, kama Bwana alivyosema; na katika mabaki, hao awaitao Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watu wote watakaoomba kwa jina la Mwenyezi-Mungu wataokolewa. Maana katika mlima Siyoni na Yerusalemu, watakuwako watu watakaosalimika, kama nilivyosema mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na kila mmoja atakayeliitia jina la BWANA ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwako wokovu, kama BWANA alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao BWANA awaita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na kila mtu atakayeliitia jina la bwana ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwepo wokovu, kama bwana alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao bwana awaita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na itakuwa ya kwamba mtu awaye yote atakayeliita jina la BWANA ataponywa; kwa kuwa katika mlima Sayuni na katika Yerusalemu watakuwako watu watakaookoka, kama BWANA alivyosema; na katika mabaki, hao awaitao BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watu wote watakaoomba kwa jina la Mwenyezi-Mungu wataokolewa. Maana katika mlima Siyoni na Yerusalemu, watakuwako watu watakaosalimika, kama nilivyosema mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena itakuwa, kila atakayelitambikia Jina la Bwana ataokoka. Kwani mlimani pa Sioni namo Yerusalemu watakuwamo waliopona, kama Bwana alivyosema; namo miongoni mwao waliookolewa watakuwamo, Bwana aliowaita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)