Joel 2:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanashambulia kama mashujaa wa vita; kuta wanazipanda kama wanajeshi. Wote wanakwenda mbele moja kwa moja, bila hata mmoja wao kubadilisha njia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanashambulia kama mashujaa; wanapanda kuta kama askari. Wote wanatembea katika safu, hawapotoshi safu zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hupiga mbio kama mashujaa; huupanda ukuta kama watu wa vita; nao huendelea mbele kila mmoja katika njia zake, wala hawapotoshi safu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanashambulia kama mashujaa wa vita; kuta wanazipanda kama wanajeshi. Wote wanakwenda mbele moja kwa moja, bila hata mmoja wao kubadilisha njia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanashambulia kama wapiganaji wa vita; wanapanda kuta kama askari. Wote wanatembea katika safu, hawapotoshi safu zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanashambulia kama wapiganaji wa vita; wanapanda kuta kama askari. Wote wanatembea katika safu, hawapotoshi safu zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hupiga mbio kama mashujaa; huupanda ukuta kama watu wa vita; nao huendelea mbele kila mmoja katika njia zake, wala hawapotoshi safu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanashambulia kama mashujaa wa vita; kuta wanazipanda kama wanajeshi. Wote wanakwenda mbele moja kwa moja, bila hata mmoja wao kubadilisha njia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanapiga mbio kama wenye nguvu wa vitani, wanakwea ukutani kama mafundi wa mapigano, wanakwenda kila mmoja katika njia yake, hawayapotoi kamwe mapito yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hupiga mbio kama mashujaa; huupanda ukuta kama watu wa vita; nao huendelea mbele kila mmoja katika njia zake, wala hawapotoshi safu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanashambulia kama mashujaa wa vita; wanapanda juu ya kuta kama waaskari. Wote wanakwenda mbele moja kwa moja, bila hata mumoja wao kubadilisha njia.